Amedeus Live Podcast

Alibatilisha Mauti


Listen Later

Usiruhusu Mauti na madhara yake vitawale maisha yako tena, Yesu Kristo alibatilisha Mauti na kuleta uzima wa milele na kutokuharibika (kutokufa). Tembea kwenye upya wa uzima, ukiwa na afya njema kila siku.
Pokea uponyaji na siha njema kwa ajili yako Leo kupitia rhapsodi hii.
Mungu ataka uwe na afya njema na uzima tele kila siku na ufurahie uzima huo.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Amedeus Live PodcastBy Amedeus D. Raphael