Elewa muunganiko wa Bwana wetu Yesu Kristo na Roho Mtakatifu, ni muunganiko wa Ajabu na kipekee.
Bwana Yesu ni mfariji aina ile ile kama Roho Mtakatifu, hao wawili ni kitu kimoja. Roho Mtakatifu ni Baba aliyekuwa ndani ya Bwana Yesu, yeye ndiye Bwana Yesu alikuwa akishuhudia kwamba nayatenda yale ninayomwona Baba anatenda!
Soma tena na utafakari injili ya Yohana sura ya 14.