Pangani FM Podcasts

AMA KWELI! 'Nyumba ni Choo'


Listen Later

Nyumba ni choo! Huu ni usemi ambao hutumika mara nyingi ukiangazia umuhimu wa choo bora na huduma za kujisafi nyumbani.


Hii ni Makala ya nitunze nikutunze …popote ulipo tunakualika kusikiliza Makala hii kila siku ya ijumaa kuanzia saa 1:30 hadi saa 2:00 usiku.

Lengo ikiwa ni kujadili athari za mabadiliko ya tabia nchi na kutafuta njia mbadala ya kukabiliana nayo pamoja na njia salama ya kuhifadhi taka na kutunza mazingira kwa maendeleo endelevu.

Episode hii ya Makala ya nitunze nikutunze inaangazia swala zima la kukosekana kwa Vyoo kunavyochangia uharibifu wa Mazingira. mazingira

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Pangani FM PodcastsBy Pangani FM