Mh. Tundu Lissu ameongea na Swahili Villa na America Swahili News 07/13/2021. Mada zilizo jadiliwa ni Ulinzi wa raia wa Tanzania upo mikononi kwa nani, wajibu wa Polisi Tanzania, Katiba ya Jamhuri wa Tanzania, na kwa nini mpaka leo serikali ya Tanzania bado siyo makini kwenye kupambana na COVID-19. Tafadhali sana sikiliza mahojiano haya na weka maoni yako na usisahau ku-sucribe, share, na Like: America Swahili News na Swahili Villa online TV.