Amedeus Live Podcast

Ametupatinisha na Nafsi yake Mwenyewe.


Listen Later

Mungu alikuwa ndani ya Kristo akiupatanisha ulimwengu na nafsi yake. Hakuna wokovu nje ya Kristo Yesu, ulimwengu lazima uje hilo. Tumepewa huduma hii ya upatanisho na lazima tuuambie ulimwengu mzima.
Hii na Rhapsodi ya Uhakika toleo la watu wazima, Januari 18, 2024.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Amedeus Live PodcastBy Amedeus D. Raphael