Application ambazo hutakiwi kukosa kama unafanya biashara
Kuna application nyingi ambazo upo nazo kwenye simu yako lakini wewe kama mfanyabiashara karibu nikuambie application ambazo kama unataka kufanikiwa uwezi kuzikosa kwenye simu. Katika Episode hii Tutachunguza application Tano kwa undani jinsi gani zitarahisisha utendaji wa biashara, na pia kuboresha ufanisi, mawasiliano, na matokeo ya kifedha.
Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph
Producer Owen Bariki.
Instagram: eleven_digital255
Facebook: eleven_digital255
LinkedIn: eleven_digital255