Kama ungepewa nafasi ya kuunganisha akili yako moja kwa moja na kompyuta ungekubali?
Teknolojia ya Neuralink imeleta uwezekano huo… lakini gharama yake ni ipi? Je, ni uwezo zaidi au ni udhibiti zaidi katika maisha ya binadamu?
🎧Bofya link kwenye Bio na Insta story ili kusikiliza.
Jibu hilo liko kwenye episode yetu mpya hosted by @jackline_mgina & @maria_ukhotya
🎬 Producer: @ombloxgenius
Follow us:
📲 Instagram: @eleven_digital255
📘 Facebook: @eleven_digital255
🔗 LinkedIn: @eleven_digital255
#TechTrends2025 #ElevenDigitalThePodcast #AkiliBandia #Neuralink #FutureTalks #DigitalAfrica