Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Eleven Digital is the Digital Youth Forum dedicated to education in the field of the safe, creative and positive use of the Internet and new technologies.This is ‘Open Forum' aims to encourage dialo... more
FAQs about Eleven Digital The Podcast:How many episodes does Eleven Digital The Podcast have?The podcast currently has 27 episodes available.
February 03, 2023Kiusalama, Kwanini Unatakiwa "Updates" Vifaa Vyako Vya Kidigitali.Teknolojia inabadilika haraka sana. Mambo ya jana sio ya leo, kila siku vitu vinabadilika. Hivyo katika episode hii tumekukuletea sababu za kiusalama kwanini unatakiwa Updates vifaa na apps zako kila wakati ili ubakie salama mtandaoni....more10minPlay
January 30, 2023Je, Unaijua Sheria ya Makosa ya Mtandao ya Mwaka 2015?Katika episode hii, tumepima vile wananchi wana uelewa juu ya sheria ya makosa ya mtandao iliyotungwa na kupitishwa mwaka 2015. Chukua muda wako na sikiliza maoni na uelewa wa wananchi wa Tanzania juu ya sheria hii...more9minPlay
January 27, 2023Unajilinda Vipi Ukiwa Mtandaoni? | Na Oweniz BarikiElimu ndio inayokosekana kati wa watumiaji wengi wa majukwaa ya kidigitali na kusababisha hasara, kudukuliwa na upotevu wa taarifa na data zako ulizoziweka mtandaoni. Katika episode hii, Ungana na mtaalam wa masuala ya kidigitali akikuelezea ni jinsi gani unaweza kuwa salama mtandaoni....more27minPlay
January 23, 2023Zijue njia salama za kujilinda Mtandaoni kwa kuweka nenosiri thabiti. (strong password)Watu wengi wamekuwa wahanga wa taarifa au kurasa zao za mitandao ya kijamii kudukuliwa, katika episode hii tumekuletea njia salama za kuweka katika majukwaa yako ya kidigitali ili uweze kujilinda dhidi ya wadukuzi na waarifu wa mtandaoni....more22minPlay
January 20, 2023Nyayo Za Kidigitali Na Umuhimu Wa Kulinda Hatua Zako MtandaoniWatu wengi wamekuwa wahanga wa kuibiwa taarifa zao mtandaoni, kitu wasichokijua ni kuwa kila sehemu wanayopita mtandaoni wanaacha hatua zao na taarifa binafsi. Katika episode hii tupo na Imani Luvanga, anatuambia ni kivipi tunaweza linda taarifa zetu zisidukuliwe na waarifu na tubaki mtandaoni salama....more20minPlay
January 16, 2023Hizi Ndio Sehemu Salama Zaidi Za Kutunza Data Zako MtandaoniJe unawaza ni sehemu gani salama ya kutunza na kuhifadhi taarifa zako na rahisi kufikika pale unapozihitaji?. Katika Episode hii, tumekuletea SITES na APPS bora unazoweza kulinda na kuhifadhi data zako kwa usalama zaidi na rahisi kuzipata pale utakapozihitaji. Chukua muda wako na sikiliza hii;...more14minPlay
January 09, 2023Hizi Ndio Browser Salama Zaidi Na Nzuri Kutumia Kwenye Simu na Laptop YakoKatika ulimwengu wa kidigitali kuna browsers nyingi sana ambazo zinakupa uwezo wa kuingia kwenye majukwaa mbalimbali ya Internet. Katika episode hii, tumekuletea baadhi tu ya browsers salama na nzuri kutumia kwenye simu na laptop zako bila kusahau Tips mbalimbali zinazoweza kukufanya uwe salama katika majukwaa ya mtandao....more24minPlay
FAQs about Eleven Digital The Podcast:How many episodes does Eleven Digital The Podcast have?The podcast currently has 27 episodes available.