Zijue njia salama za kujilinda Mtandaoni kwa kuweka nenosiri thabiti.
(strong password)
Watu wengi wamekuwa wahanga wa taarifa au kurasa zao za mitandao ya kijamii kudukuliwa, katika episode hii tumekuletea njia salama za kuweka katika majukwaa yako ya kidigitali ili uweze kujilinda dhidi ya wadukuzi na waarifu wa mtandaoni.