Eleven Digital The Podcast

Nyayo Za Kidigitali Na Umuhimu Wa Kulinda Hatua Zako Mtandaoni


Listen Later

Watu wengi wamekuwa wahanga wa kuibiwa taarifa zao mtandaoni, kitu wasichokijua ni kuwa kila sehemu wanayopita mtandaoni wanaacha hatua zao na taarifa binafsi. Katika episode hii tupo na Imani Luvanga, anatuambia ni kivipi tunaweza linda taarifa zetu zisidukuliwe na waarifu na tubaki mtandaoni salama.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Eleven Digital The PodcastBy Leonce Godfrey