Elimu ndio inayokosekana kati wa watumiaji wengi wa majukwaa ya kidigitali na kusababisha hasara, kudukuliwa na upotevu wa taarifa na data zako ulizoziweka mtandaoni. Katika episode hii, Ungana na mtaalam wa masuala ya kidigitali akikuelezea ni jinsi gani unaweza kuwa salama mtandaoni.