Kuisihi kwa usalama ni wajibu wetu sote ambaye tumeisihi Australia. Tukitaka kulinda familia, marafiki na jamii, sote tunaweza kufanya marekebisho kadha. Wacha tuongee kuhusu hizi marekebisho kwa kipindi cha leo cha Maisha ya Australia kutoka AMES Australia