BEYOND THE LINE

BEYOND THE LINE

By Beyond the line IncSociety & CultureBusiness
Download on the App Store

BEYOND THE LINE episodes

  • The Price of Desire: Kwa Nini Tunasacrifice Future Yetu kwa Comfort ya Leo? | Beyond the Line EP03

    Got something to say to this podcast? Send a voicemail, and you might hear yourself on the next episode!

    Je, unajua kwamba kila desire unayokuwa nayo ina gharama yake?

    Naval Ravikant once described desire as a contract we make with ourselves to remain unhappy until we get what we want.

    But here's the question: Are the things we desire today helping us build a better future, or keeping us trapped in the same place?

    Kwenye Episode 03 ya Beyond the Line, Reatus na Fortunatus tunachambua jinsi desires zetu zinavyoathiri maamuzi, nidhamu, furaha na safari ya kutafuta mafanikio.

    Tunajadili tofauti kati ya watu wanaoweka malengo ya muda mrefu na wale wanaobadilisha desires kila wanapoona kitu kipya. Pia tunaangalia jinsi comfort ya leo inavyoweza kuwa gharama kubwa ya kesho.

    In this conversation, we explore:

    - The real price of desire.

    - Why we keep changing our goals.

    - The relationship between comfort, discipline and wealth.

    - How immediate gratification influences our decisions.

    - Why long-term thinking matters.

    Je, uko tayari ku-sacrifice comfort ya leo kwa ajili ya maisha unayotaka kesho?

    πŸŽ™οΈ Beyond the Line β€” Episode 03

    Hosted by Reatus, alongside Fortunatus.

    The Line Is Not the Limit.

    16 min
  • AI: Threat or Tool? | Je, AI Itachukua Kazi Zetu? β€” Beyond the Line EP02

    Got something to say to this podcast? Send a voicemail, and you might hear yourself on the next episode!

    πŸŽ™οΈ BEYOND THE LINE | EPISODE 02

    AI: THREAT OR TOOL? πŸ€–πŸ”₯

    Je, AI inakuja kutufukuza kazi, au kutufanya tufanye kazi better?

    Leo AI inaweza kutengeneza picha, video, websites, applications, na kufanya kazi ambazo zamani zilihitaji professionals wenye skills na experience ya miaka mingi.

    But here's the real question: Are we being replaced by AI, or by people who know how to use AI?

    Kwenye episode hii, Reatus na Fortunatus tunajadili jinsi Artificial Intelligence inavyobadilisha dunia ya ajira, creativity, business, na future ya vijana.

    Je, skills tunazojifunza leo zitakuwa na thamani miaka mitano ijayo? Na kama AI inaweza kufanya kazi yako, unapaswa kujiandaa vipi?

    Hatuna majibu yote, but we're asking the questions that matter.

    🎧 Sikiliza episode nzima, kisha tuambie:

    πŸ‘‡ AI ni THREAT au TOOL kwako? Na kwa nini?

    πŸŽ™οΈ Beyond the Line β€” Episode 02

    The Line Is Not the Limit.

    #BeyondTheLine #Episode02 #ArtificialIntelligence #AI #FutureOfWork #TanzaniaPodcast #Technology #YouthMindset

    25 min
  • Una Passions Nyingi au Ni Dopamine Chaser? | Beyond the Line EP01

    Got something to say to this podcast? Send a voicemail, and you might hear yourself on the next episode!

    Una passions nyingi kweli, au unapenda tu excitement ya kuanza kitu kipya? πŸ‘€

    Leo graphic designer. Kesho content creator. Keshokutwa trader. Wiki inayofuata unataka kuingia kwenye tech.

    But here's the question: Are you truly multipassionate, or are you just chasing dopamine?

    Kwenye episode yetu ya kwanza ya BEYOND THE LINE, Reatus na Fortunatus tunachambua changamoto inayowakabili vijana wengi β€” kuanza vitu vingi bila kufikia mastery kwenye hata kimoja.

    Tunazungumzia discipline, consistency, social media distractions, finding your purpose, na tofauti kati ya kuwa multipassionate na kuwa dopamine chaser.

    Je, kuwa na interests nyingi ni strength, au kuna wakati inakuwa sababu ya kutofikia malengo yako?

    πŸŽ™οΈ Beyond the Line β€” Episode 01

    The Line Is Not the Limit.

    #BeyondTheLine #DopamineChaser #Multipassionate #PersonalGrowth #TanzaniaPodcast #YouthMindset

    26 min

About BEYOND THE LINE

From the publisher's feed

BEYOND THE LINE

The Line Is Not the Limit.

Beyond the Line is a podcast hosted by Reatus and Fortunatus, where we challenge ordinary thinking, question popular beliefs, and have real…