
Sign up to save your podcasts
Or


Karibu kwenye kipindi cha kwanza cha Biashara Mtandaoni! Katika episode hii, tunajadili malengo matatu muhimu ya matangazo ya biashara mtandaoni na jinsi yanavyoweza kusaidia kukuza biashara yako.
Mimi ni Adam Sparrows, Your Digital Marketing Coach. Jiunge nami katika safari hii ya kukuza biashara yako kwa kutumia mitandao ya kidijitali.
Usikose kusikiliza, kushiriki, na kufuatilia vipindi vijavyo vya Biashara Mtandaoni!
Follow me on Instagram na X: @SparrowsAds
From the publisher's feed
Biashara Mtandaoni Podcast inalenga kusaidia wamiliki wa biashara kutambua fursa za kidijitali na kuzitumia kutangaza biashara kwa mafanikio. Nikiwa mtaalamu wa uuzaji wa…
Katika podcast hii, utajifunza:
Biashara Mtandaoni ni kwa ajili yako – ikiwa unataka kujifunza, kukua, na kufanikiwa katika ulimwengu wa kidijitali. Jiunge nami kwenye safari hii ya kuboresha biashara yako na kuifanya kuwa bora zaidi kwa kutumia teknolojia na mitandao.
Follow podcast hii na unishirikishe maswali au mada unazotaka tuzungumzie. Hii ni safari yetu ya mafanikio mtandaoni!