Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
FAQs about Catenaccio:How many episodes does Catenaccio have?The podcast currently has 7 episodes available.
June 26, 2022Historia ya Manchester United FC (Part 1)Episode 11Lakini kabla ya Ferguson Man Utd ilikuwepo na tayari ilikuwa moja kati ya timu kubwa barani Ulaya na Duniani.Kwa kugusia tu, kwa zaidi ya mara moja Manchester United ishachungulia kaburi la kufilisika na kupotea kabisa lakini wanafanikiwa kurudi dakika za mwisho kama shujaa wa movie za kihindi.Kwenye episode hii, tumejikita zaidi kwenye chimbuko la Manchester United kuanzia ilipozaliwa 1878. Tutaenda sote taratibu mpaka tutafika 2022 katika mfululizo wa Episode 4.Karibu sana....more14minPlay
August 28, 2021Catenaccio: Episode 10 - FPL GW2 (TotalFootball)Kinara wa Catenaccio Fantasy League GW2, Henry Lwila, anatupiga msasa kuhusu kuchagua wachezaji na anagusia mawili matatu juu ya Premier League na timu yake pendwa Arsenal FC....more51minPlay
July 01, 2021Catenaccio: Episode 8 - European Super LeagueJaribio la "vilabu vikubwa" barani ulaya kuanzisha mashindano yao, mbadala wa UEFA Champions League ilizua taharuki na mvutano mkubwa sana.Kwenye episode ya nane tutajaribu kugusia yaliyosababisha yote hayo na kwanini timu huwa zinafikia kuanzisha michuano mbadala. Ungana nasi na twende pamoja na usisahau kutupa mrejesho....more24minPlay
September 25, 2020Catenaccio S01E05: Liverpool v ArsenalUtamsikia Ozil na Said wakizungumzia Liverpool v Arsenal. Mshindi wa Catenaccio Fantasy GW2 kaingia mitini.#Catenaccio #PremierLeague #FantasyPremierLeague...more41minPlay
September 24, 2020Catenaccio Pilot EpisodeEpisode ya kwanza kabisa kwenye Catenaccio Podcats.Utapata kuwasikia wadau tofauti tofauti wakichangia waliokuwa nayo kuhusu #Football na na timu zao kwenye #Premier League.Kikubwa kinachozungumziwa humu ni kila mmoja kusifia timu yake, na maoni yake juu ya mustakabali mzima wa timu yake....more24minPlay
September 17, 2020Catenaccio FPL - Manager of GW1: IdrissManager wa Gameweek 1, Idriss anatamba na team yake Manyumbu FC. Tutapata pia na kumsikia akigusia mawili matatu juu ya Catenaccio Fantasy League na Premier League kwa ujumla wake. ...more30minPlay
September 01, 2020Catenaccio Fantasy League InvitationSalaam.Nichukue fursa hii kukualika rasmi kwenye ligi yetu ya Catenaccio. Msimu huu tumenoesha zaidi tumeweka zawadi za papo hapo.Waalike na wengine.Usisite kuconiandikia kwa lolote lile.Ahsante sana....more8minPlay
FAQs about Catenaccio:How many episodes does Catenaccio have?The podcast currently has 7 episodes available.