Amedeus Live Podcast

Chochea Upako ulionao


Listen Later

Kuna hazina kubwa sana ya Mungu ndani, usiopotezee!! Ichoche na itumie kuwabariki wengine!
Kunena kwa lugha ni Moja na namna ya kuchochea karama hii!
Tumia muda Leo kunena kwa lugha na chochea Upako uliopo ndani yako.
Bariki ulimwengu leo wa Karama hii iliyowekezwa ndani yako.
Rhapsodi ya Uhakika toleo la wasomaji wa awali.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Amedeus Live PodcastBy Amedeus D. Raphael