Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Hii ni Podcast ambayo inakufundisha jinsi ya kutumia fursa ya network marketing business (biashara Ya mtandao) na internet (mitandao ya kijamii) kutengeneza faida ya milioni kwa mwezi.... more
FAQs about Coach Aifa:How many episodes does Coach Aifa have?The podcast currently has 35 episodes available.
January 19, 202015-Mambio 3 ya kufanya kilasiku kukusaya pesa yako dani ya mtandao wa internet kupitia simu yako.Mjasiliamali na kijana fanya haya kila siku kukuza biashara yako ama kipato chako....more10minPlay
January 17, 202014-fomula raisi ya kutengeneza sumaku ya kunasa wateja katika mtandao wako wa FacebookTimeless formula π...more17minPlay
January 16, 202013-Mambo 3 ya kuzingatia katika matangazo yako ya Facebook kuweza pata mafuliko ya wateja/Prospects.Jifunza sikiliza hapa...more9minPlay
January 14, 202012-Jinsi ya kusoma akili ya mteja/Prospect wako mtarajiwa kabra ya kumuuzia via ONLINEMaswali tisa ya ajabu yanayo ongeza mauzo na sign up nyingi kutoka ONLINE ππ’π...more12minPlay
January 12, 202011-jinsi ya kutumia WhatsApp business kuweza kuuza bidhaa yako ama huduma yako ya marketing plan.Tengeneza jukwaa(group) ndani ya WhatsApp business na toa suruhisho la tatizo la mteja wako mtalajiwa na sio kubandika matangazo ya bidhaa na kisha weka sharia ya kuwa mtu asiweke matangazo ndani ya jukwaa(group) nawe pia usiweke matangazo ndani ya group kisha toa elimu BURE ili wakuje wakupende, wakuamini kisha ndio utoe offers za products sales, ama marketing plan. Sikiliza βπ₯π₯π₯π...more7minPlay
January 10, 202010-usicho kijuwa na kimejificha ndani yako kuweza kukuza biashara yako ONLINEUkiweza tambua kipaji chako peesa utaweza kuziqtengeneza katika biashara yetu. Sikiliza hapa....more6minPlay
January 09, 20209-Jinsi S.E Joseph Magesa alivyo tengeneza tsh 600,000 ndani ya wiki Moja kupitia PROGRAM yetu.Sikiliza kisha jifunze hapa kupata madiniπ¨πββοΈπββοΈπ...more21minPlay
January 08, 20208-Jinsi S.E Aisha Mohammed alivyo tengeneza tsh750,000 ndani ya mwezi mmoja tu.PROGRAM ya Facebook page, WhatsApp business group PROJECT MONEY...more5minPlay
January 07, 20207-Ukweli halisi kuhusu Facebook page na WhatsApp business ndani ya biashara yakoJifunze leo hapa...more8minPlay
January 06, 20206-Usitangaze bihaa, tangaza utatuzi wa changamoto inayo tatuliwa na bidhaa.Elewa haya kiongozi...more10minPlay
FAQs about Coach Aifa:How many episodes does Coach Aifa have?The podcast currently has 35 episodes available.