
Sign up to save your podcasts
Or


#CocoNaDenge #MitandaoNaSisi #SafeOnlineSpaces Kuhukumiwa na kunyooshewa vidole na jamii imekuwa kikwazo kikubwa kwa wahanga wa vitisho vya kuvujishwa kwa picha zao zenye maudhui ya kiponografia au za utupu. Women At Web kupitia LP digital inawasisitiza wahanga wote kuripoti kesi hizi ili sheria iweze kuwawajibisha wanao vujisha picha hizi. Itasaidia pia kuwa na takwimu sahihi zitakazo saidia kuelimisha jamii kuhusu aina hii ya unyanyasaji wa kijinsia mitandaoni vile vile kujua njia mbadala ya kupambana na tatizo hili. #CocoNaDenge #MitandaoNasisi Limited Series - Episode THREE- Digital Citizenship #MitandaoNaSisi #MitandanoNaMimi #SafeOnlineSpaces #DigitalInclusion
By SiasaZetu#CocoNaDenge #MitandaoNaSisi #SafeOnlineSpaces Kuhukumiwa na kunyooshewa vidole na jamii imekuwa kikwazo kikubwa kwa wahanga wa vitisho vya kuvujishwa kwa picha zao zenye maudhui ya kiponografia au za utupu. Women At Web kupitia LP digital inawasisitiza wahanga wote kuripoti kesi hizi ili sheria iweze kuwawajibisha wanao vujisha picha hizi. Itasaidia pia kuwa na takwimu sahihi zitakazo saidia kuelimisha jamii kuhusu aina hii ya unyanyasaji wa kijinsia mitandaoni vile vile kujua njia mbadala ya kupambana na tatizo hili. #CocoNaDenge #MitandaoNasisi Limited Series - Episode THREE- Digital Citizenship #MitandaoNaSisi #MitandanoNaMimi #SafeOnlineSpaces #DigitalInclusion