
Sign up to save your podcasts
Or


Dr. Hamisi Andrea Kigwangalla ni Mwanasiasa wa Tanzania kutoka Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Mbunge wa jimbo la Nzega tangu mwaka 2010.
YOUTUBE
YOUTUBE
TWITTER (X)
#SiasaZetu #SiasaNiWananchi #SiasaNiMaendeleo
#MitandaoNaSisi Limited Series Tumeona madhara mengi sana yatokanayo na majukwaa ya kidijitali lakini tusiwe vipofu na kushindwa kuona fursa zinazoambatana nazo pia. Imekua rahisi sana kufikia watu wengi kwa wakati mmoja katika kutangaza biashara kupitia majukwaa ya kidijitali, bila kusahau gigs na kazi ndogo ndogo zisizohitaji elimu kubwa bali Katika kuongeza ushiriki wa wanawake mitandao ndiyo kumuinua binti wa sasa tunamuhimiza kuchangamkia fursa hizi kujiendeleza. We have seen many of the negative impacts of digital platforms but we should not be blind and fail to see the opportunities that come with it. It has become much easier to market and reach more people simultaneously in advertising business through digital platforms, not to mention gigs and small jobs that does not require higher education. In increasing women's participation in digital platforms, we encourage them to take advantage of these opportunities to develop themselves.
#CocoNaDenge #MitandaoNaSisi #SafeOnlineSpaces Kuhukumiwa na kunyooshewa vidole na jamii imekuwa kikwazo kikubwa kwa wahanga wa vitisho vya kuvujishwa kwa picha zao zenye maudhui ya kiponografia au za utupu. Women At Web kupitia LP digital inawasisitiza wahanga wote kuripoti kesi hizi ili sheria iweze kuwawajibisha wanao vujisha picha hizi. Itasaidia pia kuwa na takwimu sahihi zitakazo saidia kuelimisha jamii kuhusu aina hii ya unyanyasaji wa kijinsia mitandaoni vile vile kujua njia mbadala ya kupambana na tatizo hili. #CocoNaDenge #MitandaoNasisi Limited Series - Episode THREE- Digital Citizenship #MitandaoNaSisi #MitandanoNaMimi #SafeOnlineSpaces #DigitalInclusion
#CocoNaDenge #MitandaoNaSisi #SafeOnlineSpaces Tofauti na kuweka nywila salama kwenye vifaa vyetu vya kielectronic lakini Majukwaa ya Kidijitali yanaonekana kutokuwa salama kwa Asilimia mia. Hiyo ndo sababu Series ya Coco Na Denge inakuelimisha na kusisitiza juu ya matumizi salama ya Mitandao. Dhumuni hili limekuja baada ya kugundua kesi nyingi za kimtandao zinatokea bila kudhibitiwa. Dhumuni la episode hii ni kuelimisha juu madhara ya kuchapisha na kusambaza picha zenye maudhui ya kiponographia kutumia majukwaa ya kidijitali. Despite using safe passwords on our electronic devices but Digital Platforms appears to be 100% insecure. That is why the Coco and Denge Series educate you and emphasizes the safe use of the Internet. This purpose has come about after discovering that many cybercrime cases occur uncontrollably. This episode aims to educate about the consequences of publishing and sharing images with pornography content using digital platforms.
#CocoNaDenge #MitandaoNasisi Limited Series - Episode TWO - Digital Citizenship
#MitandaoNaSisi #MitandanoNaMimi #SafeSpacesTz
Credits: Casts: Coco - Jacqueline Shuma Denge
- Roland Malaba Chale
- Sadam Sanare Project Lead
- Carol Ndosi Project Coordinator
- Warda H. Mansour & Angella T.R Karashani Director
- Calvin Kulaya Assistant Director
- Zach Fredrick Graphics Designer
- Halifa Halifa Content creator
- Carol Ndosi Content creator 2
- Warda H. Mansour
From the publisher's feed