Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
SIASA ZA TANZANIANeno Siasa linamaana tofauti tofauti kwa kila mtu, wengi wanadhani siasa ni dhana ya kujihusisha na uongozi wa nyazifa mbali mbali za serikali. Lakini inawezekana tusichokijua ni k... more
FAQs about Siasa Zetu:How many episodes does Siasa Zetu have?The podcast currently has 11 episodes available.
October 19, 2021Coco Na Denge Mitandao Na Sisi Limited Series Episode 01Episode ONE Uraia Wa Kidijitali. Je una ufahamu kuhusu uraia wa kidijitali na nafasi yako katika kuhakikisha kunakua na #MitandaoSalama Na matumizi sahihi na salama ya mitandao ya jamii? Tumeona watu wakijificha kwenye kivuli cha matani na uhuru wa kujieleza lakini #CocoNaDenge limited series inatuonyesha wajibu na haki za raia wa kidijitali. Karibu tujifunze pamoja. #MitandaoNaSisi #MitandaoNaMimi #SafeOnlineSpaces #CocoNaDenge #MitandaoNasisi Limited Series - Episode ONE - Digital Citizenship. Are you aware of digital citizenship and your role in ensuring safe use of social networks? We have seen people hide in the shadow of jokes and freedom of expression but the #CocoNaDenge limited series shows us the responsibilities and rights of digital citizens. Welcome. Let us learn together. #MitandaoNaSisi #MitandanoNaMimi #SafeSpacesTz Credits: Casts: Coco - Jacqueline Shuma Denge: Roland Malaba Project Lead - Carol Ndosi Project Coordinator - Warda H. Mansour & Angella T.R Karashani Director - Calvin Kulaya Assistant Director - Zach Fredrick Graphics Designer - Halifa Halifa Content creator - Carol Ndosi Content creator 2 - Warda H. Mansour--- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/coco-denge/message...more4minPlay
FAQs about Siasa Zetu:How many episodes does Siasa Zetu have?The podcast currently has 11 episodes available.