Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
Andreas bado anafanya kazi Aachen, lakini Dr Thürmann amepata kazi mpya kwa mwenye mtizamo wa kuwa mwandishi habari. Berlin: Jiji kubwa na linalovutia zaidi linamsubiri. Mambo muhimu ya sarufi: Wakati... more
FAQs about Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle:How many episodes does Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle have?The podcast currently has 26 episodes available.
March 18, 2009Somo 26 – Tunataka tuwe pamoja tuMwimbaji mashuhuri – na wimbo mashuhuri... Muhtasari wa sarufi: Hakuna sarufi mpya...more16minPlay
March 18, 2009Somo 25 – Kwanza natumaini kupata kazi ndogo ndogoDr. Thürmann anamfahamisha Andreas mradi wake mpya... Muhtasari wa sarufi: vitendo: 1. vinavyokwenda na mashamirisho na 2. vinavyofuatwa na vihusishi...more14minPlay
March 18, 2009Somo 24 – Wafu hawafi mileleAndreas na Ex wanawazuru watu mashuhuri... Muhtasari wa sarufi: Hakuna sarufi mpya...more15minPlay
March 18, 2009Somo 23 – Hospitali mashuhuri CharitéDr. Thürmann anasimulia hadithi ya jengo mashuhuri... Muhtasari wa sarufi: Mwendesho wa vivumishi vya sifa (II)...more15minPlay
March 17, 2009Somo 22 – Berlin Alexanderplatz (Uwanja wa Alexander)Barua kwa wazazi wa Andreas... Muhtasari wa sarufi: Mwendesho (declension) wa vivumishi vya sifa (I)...more16minPlay
March 17, 2009Somo 21 – Kila kitu kitakuwa ghali sanaAndreas anawahoji watu mjini Berlin... Muhtasari wa sarufi: Wakati ujao (future tense)...more15minPlay
March 17, 2009Somo 20 – Kabla ya kujengwa ukuta...Dr. Thürmann anasimulia hadithi kutoka Berlin... Muhtasari wa sarufi: Sentensi saidizi zinazotumia als au bevor...more15minPlay
March 17, 2009Somo 19 – Vizuri (nimefurahi) umefika BerlinAndreas anampigia simu Dr.Thürmamm... Muhtasari wa sarufi: Sentensi saidizi zinazotumia dass...more15minPlay
March 17, 2009Somo 18 – Bahnhof Zoo (kituo cha treni)Andreas na Ex wanawasili Berlin... Muhtasari wa sarufi: Sentensi saidizi (subordinate clauses)...more15minPlay
March 17, 2009Somo 17 – Bado ningali nina sanduku langu BerlinMkusanyo wa sauti za watu wa Berlin... Muhtasari wa sarufi: Hakuna sarufi mpya...more16minPlay
FAQs about Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle:How many episodes does Deutsch – warum nicht? Fungu 3 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle have?The podcast currently has 26 episodes available.