Dr. Thürmann anamwonyesha Andreas mji alikozaliwa...
Muhtasari wa sarufi: muundo wa kulinganisha wa vivumishi vya sifa
15 min
About Deutsch – warum nicht? Fungu 4 | Kujifunza Kijerumani | Deutsche Welle
From the publisher's feed
Andreas amekamilisha masomo yake na yuko tayari kufanya utafiti wa makala yake ya kwanza. Kazi yake inamwelekeza na inampeleka (bila shaka pamoja na rafiki yake wa ajabu ex) katika iliyokuwa Ujerumani…
ya Mashariki. Mambo muhimu ya sarufi: Kauli-tendwa, vishazi tegemezi, vitenzi vya kujirejea, dhamira tegemezi.