Living Theology

DHAMBI Ni MADA MUHIMU YA INJILI


Listen Later

Ni afadhali kwako kuingia katika uzima hali umepungukiwa na mkono au mguu, kuliko kuwa na mikono miwili au miguu miwili, na kutupwa katika moto wa milele *. (MATHAYO 18:8* )
Kwa wengi, yaonekan ujinga kabisa, kutaja dhambi kwani, wa nasema kila mtu ana haki kuishi ipendezavyo. Njia inayokuelekeza kwa kujikandamiza, ambayo ni, dhambi pekee Ina onekana ya kuvutia. Kuna jitihada na harakati miongoni mwao vikundi vikundi kupinga mafundisho kuhusu dhambi.  Kwa kufuata maonyo ya Biblia, Kanisa, na Watakatifu,  wao hupotosha kwamba inalemaza wanadamu kukosa kufikia kiwango halisi ya starehe na utendaji ya maisha.
Kwa kuzingatia vizuri mtazamo huu wa kibinadamu juu ya maisha, twaona hali yake ya udanganyifu kamili. Mafundisho ya Bwana na Mwokozi wetu, Yesu Kristo, yamesemwa wazi dhidi ya dhambi. Alisema, "Ikiwa mkono wako au mguu wako ukikukosesha, zikate na uzitupe mbali na wewe; ni afadhali kwako kuingia katika uzima hali umepungukiwa na mkono au mguu, kuliko kuwa na mikono miwili au miguu miwili, na kutupwa katika moto wa milele. Na jicho lako likikukosesha, ling'oe ukalitupe mbali nawe; ni afadhali kwako kuingia katika uzima na jicho moja, badala ya kuwa na macho mawili ya kutupwa katika moto wa jehanamu ” ( *Mathayo 18: 8-9*)
Matokeo ya dhambi ni swala la kushughulikiwa kabisa na lime zingatiwa haswa kwa ukamilifu katika Biblia.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Living TheologyBy Brendon Naicker

  • 3
  • 3
  • 3
  • 3
  • 3

3

1 ratings