Amedeus Live Podcast

Dhirisha Shukrani


Listen Later

Rhapsodi ya Uhakika, Nov 10, 2020.

Nina shina na ninajengwa katika Bwana, nimeimarishwa katika imani na kufurika shukrani! Kila siku, ninachochewa kudhihirisha shukrani

zangu kwa Mungu, na kwa wale ambao kupitia hao Ananibariki kila siku. Hivyo, ninaenenda katika upendeleo, furaha, na utoshelevu. Amina.

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Amedeus Live PodcastBy Amedeus D. Raphael