Kaka wewe ni miongoni mwa watu wenye uhitaji wa kuifahamu vizuri youtube kwa undani. Na namna ya kuweka nyimbo kwenye iTunes ( Spotify, Amazon music, Apple Music, deezer na digital platform zote) basi hii inakuhusu. HAUTAKIWI KUKOSA. YouTube tutaenda kujifunza mambo kama haya...... Mfano wa mambo yanayo husu youtube ni pamoja na Haya yafuatayo
* Historia fupi kuhusu uanzishwaji wa youtube
* YouTube inafanyaje kazi na inamuingiziaje mmiliki wa channel hela
* Ushauri jinsi ya kuikuza haraka channel
* Utofauti wa YouTube tab ya Tanzania na nchi zingine.
* Jinsi ya kuangalia nyimbo zilizo trend kila nchi kupitia youtube
* Kuhusu baadhi ya watu kusemekana kuwa wananunua viewers na subscribers
* Kwanini baadhi ya wasanii viewers zinakuwa zinapungua au kutokuongezeka
* Kwanini baadhi ya channel zinafutwa au kufungiwa kwa muda kama channel ya Ibraah.
* Namna nzuri ya kupromote video yako ya YouTube ili kuwafikia wengi na kupata viewers wengi wa uhalali.
* Aina ya maudhui ambayo hayafai kuyaweka YouTube ili channel yako iwezeshwe kuruhusiwa kuingiza hela.
* Ushauri kwa watu wanao anza kuitumia youtube kama biashara.