Dakika 10 Za Kocha

#DZK001- Neno Kuu La Ushindi - VIZURI


Listen Later

🔥 MAMBO YANAPOHARIBIKA, USISEME “KWA NINI MIMI?” — SEMA NENO MOJA TU: VIZURI.

Umekataliwa? VIZURI.

Umepoteza fedha? VIZURI.

Biashara imeshuka? VIZURI.

Mpango umefeli? VIZURI.

Changamoto zimeongezeka? VIZURI.

Ndani ya kila tatizo kuna somo. Ndani ya kila hasara kuna fursa.

Ndani ya kila maumivu kuna nguvu mpya ya kukufanya uwe bora zaidi.

Kama bado unapumua, bado unaweza kupigana.
Kama bado unaweza kupigana, bado unaweza kushinda.

Soma #BaruaYaKocha ujifunze kwa nini washindi wa kweli huona mema hata katikati ya matatizo makubwa.

💪 VIZURI.
🚀 INUKA.
🧠 REKEBISHA.
🔥 SHAMBULIA TENA.
🏆 USHINDI BADO UNAWEZEKANA.

Fungua hapa; https://learn.tanzaniteskills....

Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Dakika 10 Za KochaBy Kocha Dr Makirita Amani