Dakika 10 Za Kocha

#DZK006; Pesa Inaweza Kununua Furaha.


Listen Later

PESA INAWEZA KUNUNUA FURAHA

Rafiki,
Najua umeaminishwa kwamba utajiri hauwezi kukupa furaha.

Na hiyo ndiyo sababu unakosa vyote, unakosa utajiri na pia unakosa furaha.

Ili uweze kupata vyote, upate utajiri mkubwa na uwe na furaha, kuna mambo matano muhimu kuzingatia.

Kwenye #BaruaYaKocha nimekushirikisha mambo hayo na jinsi ya kuyatumia kujenga utajiri na furaha.

Soma barua hiyo hapa; https://learn.tanzaniteskills....

Pesa zinanunua furaha vizuri kabisa, kama unajua inakouzwa.

Soma Barua ya Kocha, ujue hilo kwa uhakika.

Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Dakika 10 Za KochaBy Kocha Dr Makirita Amani