USIKUBALI KUSHINDWA NA YEYOTE.
Rafiki,
Ushindani ni sehemu ya safari yako ya mafanikio.
Lolote utakalofanya na kuleta matokeo mazuri, watu watakuiga.
Huwezi kuwashinda wengine kwa kushindana nao moja kwa moja.
Badala yake kuna mbinu bora kabisa za kuwashinda wengine bila kusumbuka sana.
Kwenye #BaruaYaKocha, nimekuonyesha mambo matano ya kukuwezesha kuwashinda wengine wote.
Yajue mambo hayo kwa kusoma hapa; https://learn.tanzaniteskills....
Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.