Dakika 10 Za Kocha

#DZK007; Usipojipanga, Utapangwa.


Listen Later

🔥 WATU WENGI HAWAISHI MAISHA YAO… WANATEKELEZA MAAGIZO YA JAMII.

Ukikosa kuchagua maisha yako, dunia itakuchagulia.

Ukikosa kusudi lako, utaishi kwa kuwafurahisha wengine.

Ukikosa mfumo wako, utaendeshwa na mfumo wa watu wengine.

#BaruaYaKocha itakufungua macho kuhusu:
✔️ Kwa nini watu wengi hupoteza mwelekeo wa maisha
✔️ Jinsi jamii inavyokuibia ndoto zako taratibu
✔️ Kwa nini kufuata kundi ni hatari kubwa
✔️ Namna ya kujenga maisha yako mwenyewe kwa ujasiri mkubwa

Kama unahisi maisha yako yanaendeshwa na mazingira kuliko maamuzi yako mwenyewe, hii barua ni kwa ajili yako.

Soma mpaka mwisho. Inaweza kubadilisha kabisa namna unavyoishi maisha yako. 🔥

Fungua hapa; https://learn.tanzaniteskills....

Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Dakika 10 Za KochaBy Kocha Dr Makirita Amani