Dakika 10 Za Kocha

#DZK008; Fanya Kwa Kupitiliza


Listen Later

🔥 Watu wengi wanabaki wa kawaida kwa sababu wanaogopa kuonekana “wamepitiliza.”

Ukitaka fedha kubwa, mafanikio makubwa, na maisha makubwa… lazima ukubali:
✔️ Kusemwa
✔️ Kuonekana tofauti
✔️ Kufanya kazi kupita kawaida
✔️ Kuwa na moto ambao watu wengine hawauelewi

Usipunguze makali yako ili kuwafanya watu wengine wajisikie vizuri. 🚀

#BaruaYaKocha itabadilisha namna unavyoona mafanikio, kazi, na maoni ya watu kuhusu maisha yako. 🔥

Fungua hapa; https://learn.tanzaniteskills....

Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Dakika 10 Za KochaBy Kocha Dr Makirita Amani