Sign up to save your podcasts
Or
Mambo vipi, kwenye toleo hili nimezungumza na Ephraim Swila yeye mjasiriamali wa TEHAMA na mkurungezi wa kampuni ya Inets. Nilipenda kufahamu wamewezaje kudumu kwenye ujasiriamali, walianzia wapi na wako wapi sasa.
Nilipata wasahaa mzuri zungumza na Ephraim, ni kiongozi wa mfano hakika na nina amini ukifuatilia mazungumzo yetu kuna jambo jema na zuri utajifunza.
Ephraim amenijulisha walianza harakati za ujasiriamali toka wakiwa chuo na ukisikiliza mazungumzo yetu utaona namna mwanzo watu hujitokeza na mambo yakianza kuwa magumu waanza potea.
Ephraim amenipa hamasa na kunifundisha uvumilivu katika kuweka na kukamilisha malengo. Ni dhahiri kuwa na timu nzuri ni jambo la muhimu, lakini kwenye mazungumzo yetu amegusia kuhusu common value. Hebu pata muda fuatilia mazungumzo haya kujua zaidi kuhusu hili.
Amenieleza changamoto mbalimbali ikiwa ni pamoja na Ujuzi (Skills), na amefanunua vizuri sana kwamba hii ndio hatari kubwa sana kwenye Ujasiriamali wa TEHAMA.
Ephraim amenifumbua kuhusu ushirikiano wa developers huku akiweka bayana Mafanikio ya Ujasiriamali wa TEHAMA hutengea mashirikiano (partnership).
Hakika, nina imani utajifunza mengi sana kwenye mahojiano haya, kubwa kabisa amegusia matamanio na ushauri wake kuona uwepo wa association au board ya sector ya Software hapa Tanzania. Hii itasaidia linda maslahi ya sector software, ameniambia mambo ya patent and business secret. Nisaidie kupaza sauti kuhakisha hili tunalifanyia kazi kwa umoja wetu.
Vipi kuhusu funding, pia Ephraim ameniambia nini kiliwalinda na pia kama walishawahi kuwa accerated au lah.
Subscribe Google au Apple Podcast @yesayasoftware
5
22 ratings