Exavery Nduye

Episode 13 - JITOFAUTISHE


Listen Later

Maisha yako hayapaswi kufanya na watu wengine Kwa sababu Mungu alikuumba Kwa namna ya pekee na akakuwekea kusudi tofauti, hivyo kuishi kama wengine wanavyoishi ni kujaribu kufanya vitu ambavyo haviendani na kusudi la kuumbwa kwako.

Karibu ujifinze.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Exavery NduyeBy Exavery Nduye