Yeremia 29:12
[12]Nanyi mtaniita, mtakwenda na kuniomba, nami nitawasikiliza.
Then shall ye call upon me, and ye shall go and pray unto me, and I will hearken unto you.
Mungu anatarajia kwamba tutamwendea Kwa njia ya maombi, tunapochukua hatua ya kuomba, yeye yupo tayari kutusikiliza, hivyo chukua hatua ya kuomba Sasa naye(MUNGU) atakujibu.