Kijana wa Kizazi hiki ili maisha yako yako yawe salama unapaswa kuongozwa na neno la Mungu.
Zaburi 119:9-11
[9]Jinsi gani kijana aisafishe njia yake?
Kwa kutii, akilifuata neno lako.
[10]Kwa moyo wangu wote nimekutafuta,
Usiniache nipotee mbali na maagizo yako.
[11]Moyoni mwangu nimeliweka neno lako,
Nisije nikakutenda dhambi.