Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
FAQs about Exavery Nduye:How many episodes does Exavery Nduye have?The podcast currently has 28 episodes available.
May 22, 2024NAFASI YA ROHO MTAKATIFU KATIKA KUONGEZEKA 1Matendo ya Mitume 1:8 [8]Lakini mtapokea nguvu, akiisha kuwajilia juu yenu Roho Mtakatifu; nanyi mtakuwa mashahidi wangu katika Yerusalemu, na katika Uyahudi wote, na Samaria, na hata mwisho wa nchi....more16minPlay
May 22, 2024NAFASI YA ROHO MTAKATIFU KATIKA KUONGEZEKA 2Matendo ya Mitume 1:8 [8]Lakini mtapokea nguvu, akiisha kuwajilia juu yenu Roho Mtakatifu; nanyi mtakuwa mashahidi wangu katika Yerusalemu, na katika Uyahudi wote, na Samaria, na hata mwisho wa nchi....more11minPlay
January 14, 2022KUISIKIZISHA SAUTI MBELE ZA BWANAMungu ametupatia nafasi ya kwenda mbele zake na kusema naye Kwa njia ya maombi. Unapofunga, huo ni wakati mzuri wa kukaa kwenye utulivu na kuzungumza na Mungu....more12minPlay
January 11, 2022UMUHIMI WA NENO WAKATI WA MFUNGONeo la Mungu ni muhimu sana Kwa mtu ambaye yupo kwenye mfungo, Kwa sababu lina uwezo wa kukusaidia kugundu hila za adui na kukuwezesha kuzishinda...more12minPlay
January 10, 2022LENGO LA MAOMBI YA KUFUNGAKuna tofauti kati ya kufunga na kushinda njaa, kufunga ni jambo la kiroho, na lengo la kufunga hupaswa kuwa Kwa ajili ya kuleta matokeo ya Kiroho...more15minPlay
January 04, 2022Episode 13 - JITOFAUTISHEMaisha yako hayapaswi kufanya na watu wengine Kwa sababu Mungu alikuumba Kwa namna ya pekee na akakuwekea kusudi tofauti, hivyo kuishi kama wengine wanavyoishi ni kujaribu kufanya vitu ambavyo haviendani na kusudi la kuumbwa kwako.Karibu ujifinze....more16minPlay
July 03, 2021NAMNA YA KUKABILIANA NA HOFUWatu wengi wameshindwa kufanikisha Mambo mbalimbali katika maisha yao kutokana na hofu iliyojengeka ndani yao.Kupitia ujumbe huu wa namna ya kukabiliana na hofu, utajifunza namna sahihi ya kibiblia ambayo itakusaidia kukabiliana na hofu katika maisha yako....more44minPlay
April 13, 2021UMUHIMU WA NENO LA MUNGU KWA MWAMINIKila mtu ambaye amemwamini Yesu Kristo Kama Bwana na Mwokozi wa maisha yake anapaswa kulisoma neno (Biblia) Kila wakati kwa sababu upo umuhimu wa kufanya hivyo.KARIBU usikilize mahubiri haya naamini yatakusaidia.Ujumbe huu ulihubiriwa Tar 7/4/2021 katika kanisa la HOUSE OF CHRIST-JIJINI MWANZA...more45minPlay
October 04, 2020RUTHU 3:1-18Karibu tujifunze kutoka kwenye Biblia kitabu Cha RUTHU 3:1-18...more19minPlay
October 03, 2020RUTHU 4:1-22Karibu tujifunze kutoka kwenye Biblia kitabu Cha RUTHU 4:1-22...more24minPlay
FAQs about Exavery Nduye:How many episodes does Exavery Nduye have?The podcast currently has 28 episodes available.