Watu wengi wameshindwa kufanikisha Mambo mbalimbali katika maisha yao kutokana na hofu iliyojengeka ndani yao.
Kupitia ujumbe huu wa namna ya kukabiliana na hofu, utajifunza namna sahihi ya kibiblia ambayo itakusaidia kukabiliana na hofu katika maisha yako.