Exavery Nduye

UMUHIMU WA NENO LA MUNGU KWA MWAMINI


Listen Later

Kila mtu ambaye amemwamini Yesu Kristo Kama Bwana na Mwokozi wa maisha yake anapaswa kulisoma neno (Biblia) Kila wakati kwa sababu upo umuhimu wa kufanya hivyo.

KARIBU usikilize mahubiri haya naamini yatakusaidia.

Ujumbe huu ulihubiriwa Tar 7/4/2021 katika kanisa la HOUSE OF CHRIST-JIJINI MWANZA
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Exavery NduyeBy Exavery Nduye