Kama vile mwili ulivyo na mahitaji yake mbalimbali ili uweze kustawi na kuwa na afya bora, ndivyo roho yako ilivyo na mahitaji yake ambayo yakipatikana yatasababisha roho yako iwe na afya nzuri.