
Sign up to save your podcasts
Or


Episode hii inahusu uchambuzi wa wimbo wa “Mbuzi” wa Dizasta Vina kutoka katika album yake ya A Father Figure (2024). Host anachambua Muundo, uandishi, dhamira kuu, mistari pendwa na mchango wa wimbo huu katika maisha yetu ya kila siku. Karibu!
By Goodluck JosephEpisode hii inahusu uchambuzi wa wimbo wa “Mbuzi” wa Dizasta Vina kutoka katika album yake ya A Father Figure (2024). Host anachambua Muundo, uandishi, dhamira kuu, mistari pendwa na mchango wa wimbo huu katika maisha yetu ya kila siku. Karibu!