
Sign up to save your podcasts
Or


Episode hii inaangazia uchambuzi wa wimbo kwa wimbo wa album ya “The Young Skywalker” kutoka kwake mkongwe wa masuala ya utangazaji Fredrick Bundala a.k.a Skywalker. Je, ujio wake rasmi katika muziki unahimili Mizania na mategemeo yanayokuja na uzito wa jina lake? Karibu.
By Goodluck JosephEpisode hii inaangazia uchambuzi wa wimbo kwa wimbo wa album ya “The Young Skywalker” kutoka kwake mkongwe wa masuala ya utangazaji Fredrick Bundala a.k.a Skywalker. Je, ujio wake rasmi katika muziki unahimili Mizania na mategemeo yanayokuja na uzito wa jina lake? Karibu.