
Sign up to save your podcasts
Or


Moja kati ya matatizo ya kiafya yanayowakumba wengi kwasasa ni kupooza kutokana na kiharusi. Leo nimezungumza kuhusu dalili na visababishi vya kiharusi kwa ufupi. Unaweza kusikiliza hapa.
By Dr. Rutasingwa, MD.Moja kati ya matatizo ya kiafya yanayowakumba wengi kwasasa ni kupooza kutokana na kiharusi. Leo nimezungumza kuhusu dalili na visababishi vya kiharusi kwa ufupi. Unaweza kusikiliza hapa.