Afya Talk

Afya Talk

By Dr. Rutasingwa, MD.MedicineHealth & Fitness
Download on the App Store

Afya Talk episodes

  • Waridi 02: Saratani ya Shingo ya Kizazi

    Katika Kuadhimisha siku ya wanawake Duniani, nakukaribisha kwenye series hii fupi ya Waridi. Kila siku kuanzia Tarehe 7 mpaka 11 Juma hili saa tatu asubuhi jiunge kusikiliza mambo mbalimbali; nikiangazia Saratani, Afya ya Uzazi, Unyanyasaji Kijinsia Nk. Karibu uweze kushirikisha wengine.

    12 min
  • Waridi 01: Saratani ya Matiti

    Katika Kuadhimisha siku ya wanawake Duniani, nakukaribisha kwenye series hii fupi ya Waridi. Kila siku kuanzia Tarehe 7 mpaka 11 Juma hili saa tatu asubuhi jiunge kusikiliza mambo mbalimbali; nikiangazia Saratani, Afya ya Uzazi, Unyanyasaji Kijinsia Nk. Karibu uweze kushirikisha wengine.

    12 min
  • Eczema

    Inawezekana mara kwa mara umekuwa ukisikia neno 'Eczema' na watu wakilala kuhusu kusumbuliwa na hilo tatizo. Leo kwenye Afya Talk, nimekuwekea Muhtasari kuhusu hili tatizo na kukupa ushauri yapi ya muhimu kufanya. Sikiliza kupita Podcast channel yoyote na shirikisha wengine. 

    10 min
  • Fahamu kuhusu Chunusi

    Katika Misri ya kale, Mayai ya mbuni yalitumiwa kutibu chunusi! Je wewe unatumia njia gani?! au umewahisi kusikia njia gani? Leo nimeeleza kuhusu yapi ya kuzingatia juu ya Chunusi na namna gani ya kujisadia mwenyewe. Karibu Usikulize na kushirikisha wengine.

    9 min
  • Fahamu Kuhusu Kiharusi

    Moja kati ya matatizo ya kiafya yanayowakumba wengi kwasasa ni kupooza kutokana na kiharusi. Leo nimezungumza kuhusu dalili na visababishi vya kiharusi kwa ufupi. Unaweza kusikiliza hapa.

    7 min
  • Maumivu ya Kichwa.
    Je wajua kuwa kutokunywa maji kuna weza kukufanya uumwe na kichwa? Yako mengi leo tukitazama kuhusu sababu za watu kuumwa kichwa mara kwa mara, dalili hatarishi, nk! Sikiliza sasa!
    10 min
  • Mazingira na Afya
    Mazingira yanayotuzunguka yanahusiana kwa karibu sana na afya zetu. Magonjwa mbalimbali kama Kipindupindu, Minyoo nk husababishwa na Mazingira yasiyo salama. Karibu tena kwenya Afya Talk, kujifunza na kushirikisha wengine.
    14 min
  • Chakula Na Afya - II

    Baada ya hapo jana kutazama kuhusu aina mbalimbali ya vyakula. Leo ni sehemu ya pili na ya mwisho ambapo nimeeleza kifupi kuhusu namna gani vyakula vinagusa afya yetu. Nimezungumza kuhusu mmeng'enyo wa chakula, nk Usiache kusikiliza na kushirikisha wengine.

    18 min
  • Chakula na Afya - I

    Karibu tena kwenye Afya Talk. Leo tunaanza rasmi msimu wa tatu.

    Chakula na Afya ni mada itakayozungumzia namna gani vyakula vina athiri afya zetu. Leo kwenye utangulizi tumezungumza kuhusu vyakula vya wanga, protini, mafuta na maji. Karibu ujifunze na kushirikisha wengine.

    25 min

About Afya Talk

From the publisher's feed

No. 1 Swahili Health Podcast | Available On All Major Podcasts | Engage On #AfyaTalk