Nawashukuru sana kwa kunifuatilia kwenye Msimu wa kwanza! Kuanzia Mosi Februari 2021 Msimu wa Pili ulioboreshwa utaanza rasmi. Usikosee, Endelea kushirikisha watu mbalimbali. #AfyaTalk #Tanzania
Jifunze kuhusu Saratani ya Titi; Ni nini? Sababu, Matibabu nk. Shirikisha wengine pia. Pia niwatakie Mapinduzi Mema! #DaktariMtalii #AfyaTalk #Tanzania
Tuangazie kuhusu njia mbalimbali za uzazi wa mpango. Je njia gani ni sahihi kwako?! Tuambie kupitia #AfyaTalk kwenye mitandao ya Kijamii. #Tanzania #DaktariMtalii
Tunapoanza 2021 ni vyema pia kutazama Magonjwa na Maambukizi ya Zinaa. Tusichukulie Poa, tupime Afya zetu na tujilinde. Shirikisha wengine #Tanzania #AfyaTalk #DaktariMtalii
Kheri ya Mwaka Mpya! Leo tutatazamia njia za kupunguza Uzito! Chakula, Mazoezi na mwenendo wa Maisha ndizo nguzo kuu. Karibu sana #DaktariMtalii #Tanzania
Malaria ni Ugonjwa hatari! Vifo zaidi ya 400,000 mwaka 2019 Vilitokana na Malaria; huku takribani 94% ni barani Afrika. Leo tuangazie Malaria. #AfyaTalk #DaktariMtalii #Tanzania
Leo tunatizama kuhusu Homa ya Ini: Kujua kazi za Ini, chanzo cha Ugonjwa wa homa ya Ini, aina, na Njia za kujilinda. Karibu na shirikisha wengine. #AfyaTalk #DaktariMtalii #Tanzania