Sign up to save your podcastsEmail addressPasswordRegisterOrContinue with GoogleAlready have an account? Log in here.
FAQs about Afya Talk:How many episodes does Afya Talk have?The podcast currently has 42 episodes available.
July 30, 2021Huba 18+ EP03: Maumivu wakati wa Kujamiiana.Tatizo la kupata maumivu kabla, wakati na baada ya tendo la Kujamiiana ni Moja ya tatizo linalowakumba wengi. Sikiliza kipindi hiki uweze kujua sababu na Njia za kufanya. Tufuatilie #AfyaTalk #Huba❤️ #Tanzania #Huba18+...more12minPlay
July 23, 2021Huba 18+ E02: Tatizo la Uke Kuwa MkavuKaribu kwenye Afya Talk Season 03: Hii ni season ya kipekee inayobeba Jina la Huba 18+ ambapo tunazungumzia masuala ya ujana, Mahusiano nk. Leo nitazungumza kuhusu sababu zinazofanya uke Kuwa Mkavu, Nini Cha kufanya, nk. Sikiliza Sasa na Shirikisha wengine....more11minPlay
July 16, 2021Huba 18+ E01: Harafu Ya Ukeni!Karibu kwenye Afya Talk Season 03: Hii ni season ya kipekee inayobeba Jina la Huba 18+ ambapo tunazungumzia masuala ya ujana, Mahusiano nk. Leo nitazungumza kuhusu harafu ya Uke, Je mabadiliko ya harufuya Uke ina maana yoyote? Sikiliza Sasa na Shirikisha wengine....more20minPlay
April 26, 2021Tatizo la kutokwa Uchafu ukeni.Je unapenda kujua ni aina gani ya Uchafu ni hatari na ipi ni kawaida. Sikiliza Kipindi hiki kuweza kujifunza mambo haya. Usiache kuwashirikisha wengine....more11minPlay
April 19, 2021Shinikizo la Damu wakati wa UjauzitoSikiliza kufahamu juu ya Tatizo hili la Shiniko la Damu wakati wa Ujauzito; nini cha kufanya, dalili hatarishi na mengineyo mengi....more11minPlay
April 12, 2021Fahamu Safari ya UjauzitoJifunze maandalizi ya Ujauzito, nini cha kufanya wakati wa Ujauzito na Yapi ya kutegemea....more19minPlay
April 05, 2021Fahamu Kuhusu Hedhi!Jifunze kuhusu hedhi ni nini na mambo mbalimbali yahusianayo na hedhi!...more15minPlay
March 29, 2021Fahamu Tatizo La Mgongo Wazi na Vichwa Vikubwa kwa Watoto!Jifunze nini cha kufanya kupunguza uwezekano wa kujifungua mtoto mwenye tatizo la mgongo wazi au kichwa kikubwa!...more11minPlay
February 12, 2021Tatizo la Kutapika Damu na Kutokwa Damu kwenye Njia ya Haja Kubwa!Wikendi Salama Episode 1...more14minPlay
FAQs about Afya Talk:How many episodes does Afya Talk have?The podcast currently has 42 episodes available.