Tukiwa tumeanza kuzungumza kuhusu Figo, awali tulijifunza kazi za Figo sasa tunaanza kutazama magonjwa mbalimbali: leo tunatazama athari za Kisukari kwenye Figo. #AfyaTalk #DaktariMtalii #Tanzania
Mara baada ya kujifunza kuhusu Shinikizo la Damu na Kisukari, leo tunaangazia Figo. Karibu uweze kujifunza Figo ni nini na inafanya kazi gani kwenye sehemu ya kwanza. #DaktariMtalii #AfyaTalk #Tanzania
Mara baada ya kuzungumza kuhusu Shinikizo la Damu na Kisukari, leo tunaanza kuzungumza baadhi ya madhara. Tunaanza kwa kutazama ukosefu/upungufu wa Nguvu za Kiume. #AfyaTalk #DaktariMtalii #Tanzania
Karibu tuanze mada ya Ugonjwa wa Kisukari. Sehemu Hii ya kwanza inaheleza kuhusu maana ya kisukari, dalili na upimaji wake. Usiache kushirikisha wengine. #DaktariMtalii #Tanzania #AfyaTalk
Kipindi Maalumu kifupi kuhusu Ugonjwa wa UKIMWI! SIkiliza ujifunze haya machache. Hakikisha unapima Afya yako sasa! Vijana Tujilinde, UKIMWI UPO - Usichukulie Poa.
Sehemu ya leo ni majumuisho kwa ufupi kuhusu shinikizo la damu tukiangazia maana, upimajia, dalili, hatari na namna ya kujilinda. Asante tuendelee kushirikisha kuhusu Afya Talk.
Baada ya kuzungumza kuhusu nini maana ya Shinikizo la Damu na Dalili zake, Karibu sehemu ya pili ujifunze kuhusu vyanzo, namna ya kugundulika na usomaji awali wa kipimo cha msukumo wa Damu.
15 min
About Afya Talk
From the publisher's feed
No. 1 Swahili Health Podcast | Available On All Major Podcasts | Engage On #AfyaTalk