
Sign up to save your podcasts
Or


Katika Kuadhimisha siku ya wanawake Duniani, nakukaribisha kwenye series hii fupi ya Waridi. Kila siku kuanzia Tarehe 7 mpaka 11 Juma hili saa tatu asubuhi jiunge kusikiliza mambo mbalimbali; nikiangazia Saratani, Afya ya Uzazi, Unyanyasaji Kijinsia Nk. Karibu uweze kushirikisha wengine.
By Dr. Rutasingwa, MD.Katika Kuadhimisha siku ya wanawake Duniani, nakukaribisha kwenye series hii fupi ya Waridi. Kila siku kuanzia Tarehe 7 mpaka 11 Juma hili saa tatu asubuhi jiunge kusikiliza mambo mbalimbali; nikiangazia Saratani, Afya ya Uzazi, Unyanyasaji Kijinsia Nk. Karibu uweze kushirikisha wengine.