Amedeus Live Podcast

Fikiria Unyakuo Katika Mawazo Yako


Listen Later

Rhapsodi ya Uhakika

Unyakuo wa Kanisa u karibu kuliko wakati wowote. Tu katika nyakati za hitimisho au mwishoni mwa “nyakati za ishara” kabla kutokea kwa Bwana. Ni muhimu kwamba ukawe tayari kwa ajili Yake. 1 Wathesalonike 4:16-17 inasema “wafu katika Kristo” watainuka kwanza, na wale walio hai na wamebaki watanyakuliwa pamoja nao ili kumlaki Bwana angani.

...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Amedeus Live PodcastBy Amedeus D. Raphael