
Sign up to save your podcasts
Or


Tunakianza kipindi chetu cha TANO na cha mwisho pale ambapo Patel anaingia kwenye private ward nakumuona mkewe Rifar Khatondi, Karibu tusikize yanayotokea.
Tunakianza kipindi chetu cha NNE pale tulipomalizia kipindi cha TATU, Chengo anafika kwenye gari ilipowekwa parking na Patel anaongea kwa simu kutoka kwa nani? Au simu ya nini? Karibu tusikize yanayotokea.
Tunakianza kipindi chetu cha tatu pale tulipomalizia kipindi cha pili, wamefika hospitali Tindo na Shafiq. Karibu tusikize yanayotokea...
Tunakianza kipindi chetu cha Pili, ikiwa mchana na familia ya konstabo Kadilo imefika hospitali kumtazama baba wa Tindo, Karembo na Lena na mzazi mwenzake Bi Kadilo aliye mahututi baada ya shambulizi la mahala alipokuwa anafanya kazi katika benki ya Patel. Karibu tuangalie yanayojiri...
Licha ya kupewa kashfa na kudharauliwa na wananchi kila siku, maaskari wetu wa vikosi vyote kuanzia askari polisi, askari wa trafiki, askari jela na majeshi yote anga, maji na nchi kavu na hata askari wa vitengo vya kibinafsi visivyokuwa vya kiserikali vinavyoweka usalama majumbani mwetu, barabarani, mabenki, hospitali, jelani, mipakani na mwenginepo, sio wakati wa asubui, mchana au usiku wanapojitolea kwa kila hali,wakati wa mvua, jua, baridi au upepo mkali na kuziacha familia zao ili kutulinda na kuacha tukiwa salama, hakuna anayejali shida wanazopitia badala yake ni kuzidi kuwalaumu.” NI WAKATI WA KUWASHUKURU”
Tunaanza kipindi chetu wakati za usiku ambapo Bi Kadilo, mkewe askari Kadilo akiwa na kijana wake, Tindo wakisiliza redio...
From the publisher's feed