Dakika 10 Za Kocha

Fukuza Wateja Hawa.


Listen Later

Siyo kila mtu anaweza kuwa mteja wa biashara yako.Unahitaji kuchagua aina ya wateja ambao utafanya nao biashara na kujua wateja ambao unahitaji kuwaepuka kwenye biashara yako. Sikiliza kipindi hiki cha leo kujua wateja wakuwa nao na wateja wa kuwafukuza.

Become a supporter of this podcast: https://www.spreaker.com/podcast/dakika-10-za-kocha--1923276/support.
...more
View all episodesView all episodes
Download on the App Store

Dakika 10 Za KochaBy Kocha Dr Makirita Amani