
Sign up to save your podcasts
Or


Kujihisi uko mahali sahihi ukifanya kitu sahihi kinachoendana na kusudi lako hapa duniani ni hisia iletayo Furaha timilifu na endelevu kwenye maisha. Sikiliza episode hii ujifunze mengi kuhusu Fulfilment na kwa kipekee kabisa jinsi ilivyoyagusa maisha ya Nguli wa Ubunifu wa Mitindo Tanzania, Khadija Mwanamboka.
By Peter ThadeoKujihisi uko mahali sahihi ukifanya kitu sahihi kinachoendana na kusudi lako hapa duniani ni hisia iletayo Furaha timilifu na endelevu kwenye maisha. Sikiliza episode hii ujifunze mengi kuhusu Fulfilment na kwa kipekee kabisa jinsi ilivyoyagusa maisha ya Nguli wa Ubunifu wa Mitindo Tanzania, Khadija Mwanamboka.

1 Listeners